KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council
Kwa barua hii, ninapenda kuwataarifu kuwa waombaji wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi na Karani Mwongozaji Wapiga kura, wameteuliwa kwa ajili ya kusimamia zoezi la Uchaguzi katika vituo vya kupigia kura Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Aidha, Makarani wote walioteuliwa watapata mafunzo tarehe 25/10/2025 kuanzia saa 1:30 Asubuhi katika kumbi za Sayari Nyakanazi, DIVEVA – Kabindi na Anglican Biharamulo Mjini.
Pia wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi watapata mafunzo tarehe 26 – 27/10/2025 kuanzia saa 1:30 Asubuhi katika kumbi za Sayari Nyakanazi, DIVEVA – Kabindi, Anglican Biharamulo Mjini, Ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyakahura, Ukumbi wa shule ya Sekondari Nyantakara na Ukumbi wa Shule ya Sekondari St. Clare.
Orodha ya walioteuliwa imeambatishwa hapa chini kwa kuzingatia makundi hayo.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council
