NAFASI Za Kazi Vodacom Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi Vodacom Tanzania Limited
NAFASI Za Kazi Vodacom Tanzania Limited
Vodacom Tanzania Limited ni kampuni inayoongoza nchini Tanzania ya mtandao wa simu, ikiwa kampuni ya pili ya mawasiliano barani Afrika, baada ya Vodacom kuwasha 3G High-Speed Downlink Packet Access (HSDPA) ambayo ilipatikana Dar Es Salaam pekee mwanzoni mwa 2007.
Vodacom Group ilipewa leseni mnamo Desemba 1999 kuendesha mtandao wa simu za mkononi wa GSM nchini Tanzania na kuunda kampuni tanzu ya Vodacom Tanzania Limited.
Kampuni hiyo inawaalika watu wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali Za Kazi zilizoainishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
