MATOKEO Darasa la Saba 2025

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
Share This Post
MATOKEO Darasa la Saba 2025

MATOKEO Darasa la Saba 2025

MATOKEO Darasa la Saba 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mitihani wa Darasa la Saba uliofanyika kuanzia Septemba 10, 2025.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano Novemba 5, 2023, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Ally Mohamed.

Jumla ya watahiniwa 1,172,279 walishiriki katika mtihani huo, ambapo wavulana walikuwa 535,138 sawa na asilimia 45.65, na wasichana 637,141 sawa na asilimia 54.35.

Kiwango cha ufaulu kwa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2025 kimepanda kwa asilimia 0.93.

Watahiniwa 937,581, ambao ni asilimia 81.80 ya 1,146,164 waliofanya mtihani, wamepata madaraja ya A, B na C.

Takwimu hizo zinaonesha ongezeko la ufaulu ukilinganisha na mwaka 2024, ambapo asilimia ya waliofaulu ilikuwa 80.87.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kati ya waliofaulu, wavulana ni 429,104 sawa na asilimia 82.51, na wasichana ni 508,477 sawa na asilimia 81.21.

Pia, NECTA imeeleza kuwa ubora wa matokeo nao umeongezeka.

Watahiniwa 422,923 sawa na asilimia 36.90 wamepata madaraja ya juu (A na B), ikilinganishwa na asilimia 35.83 mwaka 2024, hivyo kuonyesha ongezeko la asilimia 1.07.

Tazama hapa Matokeo ya Darasa la Saba 2025

Ili kuona Matokeo hayo tafadhali bonyeza link ya Mkoa wako hapa chini.

  1. ARUSHA
  2. DAR ES SALAAM
  3. DODOMA
  4. IRINGA
  5. KAGERA
  6. KIGOMA
  7. KILIMANJARO
  8. LINDI
  9. MARA
  10. MBEYA
  11. MOROGORO
  12. MTWARA
  13. MWANZA
  14. PWANI
  15. RUKWA
  16. RUVUMA
  17. SHINYANGA
  18. SINGIDA
  19. TABORA
  20. TANGA
  21. MANYARA
  22. GEITA
  23. KATAVI
  24. NJOMBE
  25. SIMIYU
  26. SONGWE
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *