MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

Msimamo NBC Premier League 2025/2026
MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026
Ligi Kuu ya NBC Premier League Msimu wa 2025/2026 imenza rasmi tarehe 17 September 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 23 May 2026.
Klabu ya Young Africans ya Jijini Dar Es Salaam ndio Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo wakibeba Ubingwa wa Msimu wa 2024/2025 Kwa jumla ya pointi 82 mbele ya Simba SC iliyomaliza na pointi 78.
Msimu huu wa 2025/2026 unatajiwa kuwa na upinzani Kwa timu zinazowania Ubingwa ambazo ni Yanga SC, Simba SC, Azam FC Pamoja na Singida Black Stars.
Aidha Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC Kila msimu huamliwa na timu ambayo itakusanya pointi nyingi zaidi ya timu zote 16.
Huu hapa Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2025/2026.
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
