NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council

NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council
NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi thelathini na mbili (32) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
