KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

Filed in Usaili by on 12.11.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira wa Jeshi la Magereza (Tanzania Prisons Service Recruitment Management System
(TPSRMS)), kwamba kutakuwa na usaili wa vijana waliokidhi vigezo vya awali.

Usaili huo utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza na kwenye Ofisi za Wakuu wa Magereza wa Mikoa kwa
tarehe zilizoainishwa katika Tangazo hili.

Usaili huo utaanza saa mbili kamili (02:00) asubuhi. Gharama za malazi, chakula na nauli, zitagharamiwa na wahusika.

Wahusika watatakiwa kufika kwenye usaili wakiwa nyaraka
zifuatazo:-

  • Cheti halisi cha Elimu ya Sekondari.
  • Cheti halisi cha kuzaliwa.
  • Cheti halisi cha Taaluma (kwa walioomba fani mbalimbali.
  • Kitambulisho cha NIDA.

Orodha ya Majina 6,467 walioitwa kwenye usaili pamoja na tarehe ya usaili ni kama ifuatavyo hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *