MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.12.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa miongoni mwa mambo yanayowasikitisha Watanzania kwa sasa ni kutokiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani, huku akihoji kwamba ilikuwaje vyombo vya usalama havikufanikiwa kuzuia mauaji yaliyojitokeza.

Akizungumza na Jambo TV, Desemba 1, 2025, Padre Kitima amesema kwamba tafakari ya Maaskofu imebainisha wazi kwamba waliohusika na mauaji wanapaswa kuwajibika.

“Tunachosikitika mpaka sasa na wanachosikitika, wanachoumia Watanzania mpaka sasa, kinyume na mila na desturi za makabila yote ya Tanzania mpaka sasa ni kutokukiri ukweli kwamba, waliouawa wameuawa na nani? na kama aliyeua hafahamiki, ilikuwaje vyombo vinavyozuia mauaji visifanikiwe kuzuia mauaji?” ameeleza Padre Kitima kwa kuhoji.

Akirejelea katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 14, amesema kuwa kila raia wa nchi ya Tanzania ana haki ya uhai wake na ana haki ya kupata hifadhi ya uhai wake.

Amesisitiza kwamba ili kusonga mbele ni lazima mamlaka zikiri kilichofanyika.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *