FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

Filed in Elimu by on 28.12.2025 0 Comments
Share This Post
FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula ulioanza Januari, 2026 Awamu ya Pili (Second Selection) umekamilika.

Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni kabla ya tarehe 24 Februari, 2026. Masomo yataanza tarehe 25 Februari,
2026.

Kupakua fomu za maelezo ya kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2026 bonyeza hapa chini.

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
FOMU ZA MAELEZO YA KUJIUNGA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI
MWAKA 2026
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *