NAFASI Za Kazi Kioo Limited

Filed in Ajira by on 31.12.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Kioo Ltd Tanzania

NAFASI Za Kazi Kioo Ltd Tanzania

NAFASI Za Kazi Kioo Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya Kioo Limited iliyoanzishwa mwaka wa 1963 inajivunia kuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa vifungashio vya vioo vya Vinywaji laini, kama Bia, Vileo, Viwanda vya Chakula Afrika Mashariki na Kati

Kampuni hiyo inapoendelea kupanua shughuli zake Kwa kutafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.

Nafasi Mpya Zilizotangazwa na Kampuni ya Kioo Limited Zimeorodheshwa hapa chini.

1:Position: Machine Operators

  • Qualifications: VETA- Fitter Mechanics & Motor Vehicle Mechanics

2:Position: Fitters Mechanics

  • Qualifications: VETA- Fitter Mechanics

3.Position: Instrumentation Technicians

  • Qualifications: VETA- Electronics & Instrumentation

4.Position: Workshop Supervisor

  • Qualifications: Diploma in Mechanical Engineering

5.Position: Job Change Instrumentation

  • Qualifications:  Diploma in Electronics and Instrumentation

6.Position: Job Change Mechanical

  • Qualifications:  Diploma in Mechanical Engineering

7.Position: Lab Checkers

  • Qualifications:  VETA- Lab Assistant

8.Position: Quality Control Supervisor

  • Qualifications: Graduate in Food Science & Technology, Metrology and Standardization or related field.

9.Position: Electrical Engineer

  • Qualifications: Bachelor in Electrical Engineering

10.Position: Electrical Technician

  • Qualifications: Diploma in Electrical

Interested candidates to send their resumes to: careers@kiooglass.co.tz before 20th January 2026.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *