MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

Filed in Ajira, Makala by on 14.01.2026 0 Comments
Share This Post
MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kuingia Ndani ya Mfumo huu lazima uwe na namba ya NIDA au barua pepe uliyotumia kujisajili kama jina la mtumiaji (username) Kwa wale ambao washajisajili Katika Mfumo huu.

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

MFUMO Wa Maombi ya Ajira Za Kujitolea/Mkataba

 

 

Maelekezo Kwa Waombaji wapya 
  • Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU
  • Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia “Jisajili” kuanza kuomba
  • Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
  • Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
  • Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
  • Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
  • Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
  • Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako.

Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi

Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210

TANGAZO LA NAFASI 1,500 MPYA ZA KUJITOLEA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI 2026

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *