KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri
KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri
Kikosi cha Yanga kimesafiri Alfajiri ya leo Jumatano, Januari 21 kuelekea Misri kwaajili ya mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL) dhidi ya Al Ahly.
Mchezo huo utapigwa Ijumaa ya Januari 23 mji wa Alexndria.
Yanga imeondoka na msafara uliojumuisha wachezaji 24, benchi la ufundi na viongozi, msafara huo ukiongozwa na Rais, Injinia Hersi Said
Hiki hapa kikosi Kamili Cha Yanga kilichosafiri.

Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
