KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026

KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026
KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Maji na
Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29/09/2025 hadi 30/01/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
