KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

Filed in Usaili by on 24.01.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TARURA Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa niaba ya Mtendaji Mkuu, Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro, inawakaribisha Wagombea wote walioteuliwa kuhudhuria usaili wa nafasi ya Udereva II utakaofanyika tarehe 29 na 30 Januari 2026, katika Chuo cha VETA Moshi saa 8:00 asubuhi.

Waombaji wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao halisi, vyeti vya kuzaliwa, Leseni Halali ya Kuendesha gari na Kitambulisho cha Taifa wakati wa Usaili. Orodha imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.

DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *