NAFASI Za Kazi Bahi District Council

NAFASI Za Kazi Bahi District Council
NAFASI Za Kazi Bahi District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
