NAFASI Za Kazi TotalEnergies Tanzania

NAFASI Za Kazi TotalEnergies Tanzania
NAFASI Za Kazi TotalEnergies Tanzania
TotalEnergies Tanzania Limited ni kampuni ya uuzaji na huduma ya mafuta ya petroli, ambayo imekuwa ikifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 1969, ikilenga katika uuzaji, usambazaji na huduma ya bidhaa za petroli, HFO na vilainishi.
Ni kampuni inayoongoza ya mafuta nchini Tanzania, inayojulikana kwa mtandao wao mpana wa vituo vya huduma na kujitolea kutoa bidhaa na huduma bora.
Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka TotalEnergies Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
