MSIMAMO NBC Championship 2025/2026
Ligi ya Daraja la Kwanza, maarufu NBC Championship Tanzania, ni moja ya michuano inayovutia mashabiki wengi nchini Tanzania.
Ligi ya Championship ni ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania nyuma ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League), na inatoa nafasi kwa timu kuonyesha vipaji na Kupanda Daraja kwenda Ligi Kuu Kila Msimu.
NBC Championship inahusisha timu 16 kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania, ambazo hucheza mfumo wa ligi kamili na kila timu hukutana na timu nyingine mara mbili (nyumbani na ugenini).
Huu hapa ni Msimamo Wa NBC Championship 2025/2026.
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

