NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council

NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council
NAFASI Za Kazi Ubungo Municipal Council
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (4) za mkataba wa muda mfupi katika Manispaa ya Ubungo kwaajjili ya kuendesha Mtambo wa kuchonga na kuumba barabara (Greda), Mtambo wa kuchimba na kupakia (Excavator) na Mtambo wa kushindilia (Roller).
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
