NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)

NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ni Taasisi ya Kisheria inayomilikiwa kwa pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia kwa misingi ya umiliki wa hisa 50/50, ambapo Ofisi yake Kuu imesajiliwa Dar es Salaam, Tanzania.
Mamlaka inaendesha Vituo viwili vya Utawala vya Mikoa vilivyopo Dar es Salaam, Tanzania, na Mpika, Zambia.
TAZARA inakaribisha maombi kutoka kwa raia wenye sifa na uzoefu wa kutosha wa Tanzania na Zambia kujaza nafasi Mbalimbali za Kazi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DOWNLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: NAFASI Za Kazi Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
