NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited

NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited
NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited
Mbeya Cement Company Limited (MCCL), au Tembo Cement iliyoanzishwa mwaka 1973 ni mtengenezaji wa saruji kutoka Tanzania mwenye kiwanda kilichounganishwa kikamilifu katika Mkoa wa Mbeya.
Mbeya Cement Company Limited imekuwa ikifanya kazi kwa zaidi ya miaka 40, awali ikimilikiwa na serikali ya Tanzania, na baadaye kubinafsishwa na kununuliwa na Lafarge kabla ya kununuliwa na Amsons Group.
Kampuni hiyo inazalisha klinka, saruji na vifaa vingine vya ujenzi, vyenye uwezo wa kuzalisha takriban tani milioni 1.1 kwa mwaka.
Mbeya Cement inatafuta watu wenye nia ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Mbeya Cement.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
