KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026

KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026
KUITWA Kwenye Usaili MUHAS February 2026
Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu
Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17/02/2026 hadi 18/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
