VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026

VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026
VITUO vya Usaili wa Mahojiano kwa Walimu 14/02/2026
Vituo vya Usaili wa Mahojiano Kwa Walimu wa Masomo ya Amali, Fizikia, Hisabati na Mkaguzi wa ndani Daraja la II (Internal Auditor II) utakaofanyika tarehe 14 February, 2026
Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili vilivyoainishwa kwenye kiambatisho hapo chini.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi vya kitaaluma,cheti cha kuzaliwa, kitambulisho pamoja na kuzingatia maelekezo yote yaliyotolewa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
