MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MUHULA WA MASOMO ULIOANZA MWEZI JANUARI, 2026, AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION)
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula ulioanza Januari, 2026 Awamu ya Pili (Second Selection) umekamilika.
Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni kabla ya tarehe 24 Februari, 2026. Masomo yataanza tarehe 25 Februari,
2026.
Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2026 awamu ya pili (Second Selection) bonyeza SELECTED APPLICANTS FOR 2026 INTAKE (SECOND SELECTION)
Kupakua fomu za maelezo ya kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2026 bonyeza JOINING INSTRUCTIONS FORMS FOR 2026 INTAKE.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026
