NAFASI Za Kazi MHS-Massana Hospital

NAFASI Za Kazi MHS-Massana Hospital
NAFASI Za Kazi MHS-Massana Hospital
Massana Health Services (T) Limited (MHS) inajumuisha Hospitali na Chuo cha Uuguzi na Ukunga.
Ni kampuni binafsi, iliyoanzishwa mwaka 1995 na kuongozwa na hayati Profesa Richard Seth Massana Lema, MD, MMED (O/G), FBRH, MBA.
Kwa sasa inasimamiwa na Bi Mary-Ani Richard Lema, (BscN, Ad. DipNE,Dip.Nm), mke wa mwanzilishi tangu Mei 2016 hadi sasa.
Kampuni hiyo ipo Mbezi Beach barabara ya Bagamoyo kando ya barabara ya Goba.
Hospitali hiyo imeendelea kukua na kuwa hospitali ya kisasa ya kufundishia.
Chuo chake cha Uuguzi na Ukunga kilianzishwa mwaka 2005.
MHS inafanya kazi kama Hospitali na Chuo kinachomilikiwa na watu binafsi katika Wilaya ya Kinondoni ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Hospitali hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
