NAFASI Za Kazi Equity Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi Equity Bank Tanzania
NAFASI Za Kazi Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania na ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited ambalo ni shirika kubwa la huduma za kifedha, lenye makao yake Makuu Nairobi nchini Kenya, na matawi yake nchini Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na ofisi ya mwakilishi nchini Ethiopia.
Equity Bank Tanzania Ltd inawaalika Watu wenye nia, ari na pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizotangazwa Katika Tangazo hili la Ajira.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Equity Bank Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
