JINSI ya Kusajili Leseni ya Biashara online

Filed in Makala by on 20.02.2026 0 Comments
Share This Post
JINSI ya Kusajili Leseni ya Biashara online

JINSI ya Kusajili Leseni ya Biashara online

JINSI ya Kusajili Leseni ya Biashara online

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tausi Portal ni mfumo rasmi wa kidijitali wa Serikali za Mitaa Tanzania (TAMISEMI) ulioundwa kurahisisha ukusanyaji wa mapato.

Mfumo huu https://tausi.tamisemi.go.tz/ unawawezesha wananchi na wafanyabiashara kulipia huduma mbalimbali kama leseni za biashara, ushuru wa maegesho, na kodi za majengo kwa njia ya mtandao.

Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya Kujisajili, Kuingia kwenye Mfumo, Kulipia na Kudownload Leseni.

Ingia kwenye Kivinjari (Browser) katika
kompyuta yako na kisha andika anuani
ifuatayo https://tausi.tamisemi.go.tz

Download PDF hapa chini yenye Maelekezo yote.

DONWLOAD PDF HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *