NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

Filed in Ajira by on 23.02.2026 3 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba, na kujaza nafasi za ajira ya Mkataba wa Kujitolea, kuleta maombi yao.

Nafasi zinazotangazwa ni; –

✅DAKTARI II
Mwombaji awe na Shahada katika fani ya Udaktari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari na awe na leseni hai.

✅TABIBU WA KINYWA NA MENO II
Mwombaji awe na Stashahada ya Udaktari wa Kinywa na meno kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari na awe na leseni hai.

✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II
Mwombaji awe na Stashahada ya Uuguzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, vyeti vya Uuguzi na Ukunga na leseni hai.

✅MTEKNOLOJIA DAWA II
Mwombaji awe na Stashahada ya Mteknolojia Dawa kutoka Chuo
kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la Wafamasia na awe na leseni hai.

✅AFISA USTAWI WA JAMII II
Mwombaji awe na Shahada ya fani mojawapo kati ya zifuatazo:
Community Development, Councelling and Guidance, Psychology, Social Work, Sociology” kutoka katika chuo kinachotambuliwa na serikali.

✅AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI
Mwombaji awe na Stashahada ya Afya ya Mazingira kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na kuwa na leseni ya Baraza la Afya ya Mazingira (The Environmental Health Practitioner’s Council)

✅MSAIDIZI WA AFYA
Mwombaji awe na astashahada ya Msaidizi wa Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

SIFA ZA UJUMLA

  • Awe na umri usiozidi miaka 35 (Thelathini na tano).
  • Awe amefaulu Kitato cha Nne / Sita.
  • Awe na Kitambulisho cha Uraia na
  • Awe na wadhamini wawili wanaotambulika na Serikali ya Kijiji /Mtaa anapoishi.

MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote waambatishe nakala ya Cheti cha kidato cha Nne / Sita, cheti cha taaluma, cheti cha kuzaliwa, maelezo binafsi (Curriculum Vitae).
  • Waombaji watakaowasilisha “Result Slip” “Statement of Result” “Provisional Result” au Transcripts HAVITAKUBALIKA.

Maombi yote yatumwe kwa: –
Mganga Mfawidhi,
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala,
S.L.P 61665,
DAR ES SALAAM
Au kwa, Barua pepe: barua@mwananyamalarrh.go.tz

TANGAZO HILI LINAFUTA TANGAZO LA TAREHE 19/02/2026.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01/03/2026 Saa 9:30 Alasiri

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Comments (3)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. John M Sylvanus says:

    Sawaaa mie dereva

  2. Kabla sijaomba nafasi hii nimejitolea sana katika hospitali mbalimbali za serikali kutia ndani hospitali ya chunya ni hospitali ya Wilaya

  3. My name is Mwajuma Julias Bandari before application in 4years ago am dedicated to chunya hospital district .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *