NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital

NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital
NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital
Hospitali ya Kitengule ni kituo cha afya cha kibinafsi huko Tegeta Kibaoni, Dar es Salaam, Tanzania.
Kituo hicho kinajulikana kwa kutoa huduma kamili ya tiba na kinga, kikijivunia zaidi ya muongo mmoja wa huduma, na kuwahudumia mamia ya wagonjwa kila siku kwa huduma kama vile huduma ya uzazi, dawa za ndani, na huduma za afya kwa ujumla.
Nafasi Za Kazi Kutoka Kitengule Hospital
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
