NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank

NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank
NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank
Mwanga Hakika Bank, ambayo jina lake rasmi ni Mwanga Hakika Bank Limited, ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania BOT.
Mwanga Hakika Bank ilianzishwa mwaka 2019 kufuatia kuunganishwa kwa taasisi tatu za fedha za Tanzania, ambazo ni: EFC Tanzania Microfinance Bank (EFC), Mwanga Community Bank (MCB) na Hakika Microfinance Bank (Hakika).
Mwanga Hakika Bank imetangaza fursa Mpya za Ajira Kwa Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi hizo.
Kuona Vigezo na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali gusa link hapa chini Chagua Ajira husika.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
