NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026
NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Sanifu Ngazi ya Cheti (NTA level 4) kwa mwaka wa mafunzo utakaonza Machi 2026 kwenye chuo cha TEHAMA VETA KIPAWA kwa kozi za CYBER SECURITY, DATA SCIENCE, na SOFTWARE ENGINNERING.
SIFA ZA KUJIUNGA
- Cheti cha kidato cha nne (CSEE) chenye ufaulu wa alama wa “D” nne au zaidi katika masomo yasiyo ya dini AU
- Cheti cha VETA ngazi ya tatu (NVA lever 3/VC3) kinachotolewa na VETA na awe na angalau na “D” mbili katika cheti cha kidato cha nne kwa masomo yasiyokuwa ya dini AU iii) Cheti cha Ufundi Stadi cha elimu ya secondary katika komputa, Electroniki, Umeme na ufundi mwingine unaoendana na kozi zilizotangazwa hapo juu
UTARATIBU WA KUOMBA
- Fomu ya kujiunga zinapatikana chuoni VETA Kipawa ICTC.
- Malipo ya fomu ni shiling elfu kumi (10,000/=) ambayo italipwa kwa namba ya malipo ya serikali (control number) ambayo itatolewa wakati wa kurejesha fomu chuoni.
- Mwombaji anatakiwa kurejesha fomu na viambatisho kama nakala za vyeti vya Elimu aliyonayo, cheti cha kuzaliwa, picha ndogo passport size 3 zenye rangi ya usuli (background color ya blue)
- Fomu zitarejeshwa chuoni VETA KIPAWA ICTC.
KIPINDI CHA MAOMBI
Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 24 Februari, 2026 na mwisho ni tarehe 5 machi, 2026
GHARAMA ZA MAFUNZO
Kwa ngazi ya nne (NTA level 4) Ada ni shilingi 660,000/= kwa mwaka
Ufundi Stadi Fursa Kama Zote kwa Watu Wote.
Karibu Ujiunge na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Kwenye Chuo cha VETA KIPAWA (ICTC).
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026
