KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

Filed in Usaili by on 02.03.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA), Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE),
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Taasisi ya Utafiti wa
Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Shirika la Posta Tanzania (TPC), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/04/2025 hadi 03/06/2026 hatimaye

kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.

DONWLOAD PDF HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA

Share This Post

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *