KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026
KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026
Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05/03/2026 hadi 06/03/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
