NAFASI Za Kazi CCBRT Tanzania

Filed in Ajira by on 04.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi CCBRT Tanzania

NAFASI Za Kazi CCBRT Tanzania

NAFASI Za Kazi CCBRT Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanzania (CCBRT) iliyoanzishwa mwaka 1994 ni asasi isiyo ya kiserikali inayotoa huduma maalum za afya inayofanya kazi  Jijini Dar es Salaam na Moshi nchini Tanzania.

Hospitali hiyo inalenga hasa kuhudumia makundi ya wanawake walio katika mazingira magumu.

Wateja hawa walio katika mazingira magumu watajumuisha waliokuwa wagonjwa wa fistula wa uzazi, wanawake walemavu na wateja waliopewa rufaa kutoka Hospitali za Rufaa za Mikoa kwa kuzingatia vigezo vilivyokubaliwa na uelewa wa kufanya kazi na Ofisi ya Tabibu ya Mkoa.

CCBRT inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanzania (CCBRT)

KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *