NAFASI Za Kazi NMB Bank PLC

NAFASI Za Kazi NMB Bank PLC
NAFASI Za Kazi NMB Bank PLC
NMB Bank PLC, ni benki ya Biashara nchini Tanzania, Kufikia Septemba 2023, benki hiyo ilikuwa taasisi kubwa ya huduma za kifedha, ikitoa huduma za benki za kibiashara kwa watu binafsi, biashara ndogo na za kati, wateja wa makampuni pamoja na wafanyabiashara wakubwa.
Kisha, ilikuwa benki ya biashara ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, kwa mali, nyuma ya CRDB Bank Plc.
Benki hiyo inawaalika watu wenye nia Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali Za Kazi zilizoanishwa Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Zilizotangazwa na Benki ya NMB Tazama zimeorodheshwa hapa chini;
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

Naomba kazi. A secretary is my career and am from Mwanza
Thanks for this chance at NMB Bank in Tanzania
Jobs