KUITWA Kazini MUCE March 2026

Filed in Usaili by on 07.03.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini MUCE March 2026

KUITWA Kazini MUCE March 2026

KUITWA Kazini MUCE March 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Naibu Rasi – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa
(MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 Februari, 2026 kuwa majina ya walioitwa kazini ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 09 Machi, 2026 hadi 23 Machi, 2026 kwa kufika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE).

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti katika Chuo Kishiriki cha ElimuMkwawa (MUCE) kuanzia saa Mbili asubuhi kwa tarehe tajwa wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *