KUITWA Kwenye Usaili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure RRH

KUITWA Kwenye Usaili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure RRH
KUITWA Kwenye Usaili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure RRH
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure RRH anapenda kuwataarifu waombaji wote kama walivyoainishwa kwenye jedwalli hapa chini kuwa wanatakiwa kuhudhuria Usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Mganga Mfawidhi Alhamisi kuanzia saa 2:30 asubuhi tarehe 12/03/2026
Orodha ya Wasailiwa imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure RRH