NAFASI Za Internship Sokametrics

Filed in Ajira by on 13.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Internship Sokametrics

NAFASI Za Internship Sokametrics

NAFASI Za Internship Sokametrics

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO LA NAFASI ZA INTERNSHIP Sports Data Collection Intern – Sokametrics

Sokametrics ni taasisi inayojihusisha na ukusanyaji, uchambuzi na utoaji wa takwimu za michezo kwaajili ya maendeleo ya wachezaji, timu na taasisi za michezo nchini Tanzania.

Kwa lengo la kukuza taaluma ya takwimu za michezo, Sokametrics inatangaza nafasi za Internship kwa wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Tanzania (Tanzania Institute of Statistics – TIS).

Nafasi: Sports Data Collection Intern
Eneo la Kazi: Dar es Salaam
(na maeneo ya mechi kulingana na ratiba)

Muda wa Internship: Miezi 2-3 (kwa makubaliano)

Majukumu ya Intern:

  • Kukusanya takwimu za mechi (live data collection)
  • Kujaza match report forms kwa usahihi.
  • Kufanya video tagging na event coding.
  • Kusaidia kuandaa database ya wachezaji na timu.
  • Kushirikiana na kitengo cha uchambuzi (analysis team)

Sifa za Mwombaji:

  • Awe mwanafunzi wa Chuo cha Takwimu Tanzania (TIS).
  • Awe na uelewa mzuri wa takwimu na uchambuzi wa data.
  • Awe na mapenzi na uelewa wa michezo (hasa mpira wa miguu).
  • Awe na uwezo wa kutumia Excel au software za takwimu.
  • Awe mwaminifu, makini na mwenye uwezo wa kufanya kazi
    chini ya muda (deadline)

Faida kwa Intern:

  • Uzoefu wa vitendo katika sports analytics, Cheti cha Internship kutoka Sokametrics Fursa ya kuendelea kushirikiana na Sokametrics kulingana na utendaji

Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma: 1. CV yako 2. Barua ya maombi 3. Barua ya utambulisho kutoka chuoni
Kupitia barua pepe: hr@sokametrics.com

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 March 2026

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *