NAFASI Za Kazi K N Solanki Transport Ltd

Filed in Ajira by on 13.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi K N Solanki Transport Ltd

NAFASI Za Kazi K N Solanki Transport Ltd

NAFASI Za Kazi K N Solanki Transport Ltd

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

KN Solanki Transport Limited ni kampuni ya usafirishaji yenye makao yake makuu Tanzania, iliyoanzishwa mwaka wa 2008, ikibobea katika usafirishaji wa mizigo kote Afrika Mashariki.

Kampuni hiyo inaendesha kundi la malori zaidi ya 250 ya nusu trela na hutoa huduma za uagizaji/ usafirishaji nje, usimamizi wa makontena tupu, vipakiaji vya pembeni, na huduma za kreni.

K N Solanki Transport Ltd inajulikana kwa kutumia malori ya Scania na kuendesha ghala maalum la magari huko Tazara, Dar es Salaam.

Kampuni hiyo imetangaza Ajira 100 Mpya Za Madereva wa Malori – Flatbed-Town Trip.

TANGAZO LA AJIRA: MADEREVA WA MALORI – FLATBED-TOWN TRIP

MASHARTI NA FAIDA

  • Mshahara: TSh 400,000/= kwa mwezi (Unaongezeka kulingana na uzoefu)
  • Bonus ya 100,000 kufunga mkataba na kampuni yetu.
  • Posho: Posho hulipwa kila siku
    (DAILY), town trip uwezo wakufanya trip 2 hadi 3 kwa siku
  • NSSF – Itakatwa kwa mujibu
    ya Serikali.
  • NHIF – Kampuni itachangia.
  • Malipo ya likizo.
  • Ratio nzuri ya Mafuta

FAIDA ZA ZIADA
Msaada wa Msiba: Hutolewa endapo
kutatokea kifo cha ndugu wa karibu

Bonasi ya ziada kutolewa kulingana na utendaji wa kazi kila mwezi

Waombaji wote Wanahimizwa
Kuzingatia Maelekezo ya
Masharti ya Kazi

KWA MAWASILIANO ZAIDI – 0655 863 941, 0717 581 581 | 0713 744 355 | 0655 335 121

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *