NAFASI Za Kazi Liwale District Council

NAFASI Za Kazi Liwale District Council
NAFASI Za Kazi Liwale District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi thelathini na moja (31) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
