NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania

NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania
NAFASI Za Kazi Jaza Energy Inc Tanzania
Jaza Energy Inc ni Kampuni inayotoa huduma za betri zinazoweza kuchajiwa kwa kutumia nishati ya jua kwa kaya za vijijini, zisizotumia umeme wa gridi ya taifa nchini Tanzania Kwa kujenga “Vituo vya Nishati” vya ndani vinavyoendeshwa na wanawake wa eneo hilo (“Jaza Stars”).
kampuni hiyo hutoa mfumo wa kukodisha na kubadilishana, kutoa taa safi na umeme kwa vifaa kwa zaidi ya watu 100,000 nchini Tanzania.
Jaza Energy inalenga kuwezesha jamii za wenyeji na kukuza upatikanaji endelevu wa nishati katika maeneo ya vijijini kwa kufanya kazi nchini Tanzania na Nigeria.
Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini
TUMA MAOMBI HAPA
