RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026

RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026
RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026
Klabu ya Simba SC itarejea dimbani kwa michezo kadhaa muhimu ya Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya mapumziko ya kimataifa.
Ratiba Kamili ya Mechi Za Simba SC April 2026
02 April 2026
19:00 Simba SC vs Coastal Union
05 April 2026
19:00 Simba SC vs Azam FC
09 April 2026
16:00 Fountain Gate FC vs Simba SC
15 April 2026
19:00 Namungo FC vs Simba SC
19 April 2026
19:00 Simba SC vs JKT Tanzania FC
29 April 2026
19:00 Simba SC vs Tanzania Prisons
