NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia

NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia
NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Dalba Consulting Group” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 300 za Uuguzi zilizotolewa na Wizara ya Afya ya nchini Saudi Arabia kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini:

NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wote wanatakiwa kutuma Wasifu Binafsi (CV) kupitia;
dalbatanzania@gmail.com
Simu Na. +255765 070 010, +255744 430 010.
Baada ya kutuma maombi unapaswa kujisajili https://jobs.kazi.go.tz
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 12 April 2026.