NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

Filed in Ajira by on 03.04.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chama kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU LTD) kimetangaza nafasi za kazi za muda maalum wa miezi mitatu (3) kwa kada mbalimbali.

Hatua hii inakuja kufuatia maandalizi ya msimu mpya wa mauzo ya mazao ya wakulima katika mfumo wa Stakabadhi ghalani unaotarajiwa kufunguliwa mapema mwezi Aprili mwaka huu

Ili kujaza nafasi hizo za kazi Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe anapenda kuwatangazia Watanzania wote nafasi za kazi kama zifuatazo:-

  1. Operation Meneja (Nafasi 2)
  2. Wasimamizi wa Maghala (Nafasi 13)
  3. Mtunza Stoo (Nafasi 1)
  4. Karani (Nafasi 4)
  5. Wakala wa Fedha (Nafasi 1)

Aidha, maombi yote yatumwe kwa:

Meneja Mkuu, Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe,
S.L.P 148, Mbozi-Songwe
Kupitia Email: sorecultd@gmail.com

Maombi yatakayowasilishwa tofauti na hapo hayatapokelewa wala kufanyiwa kazi..

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 Aprili 2026.

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *