Habari

WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa

Filed in Habari by on 04.12.2025 0 Comments
WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa

WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa Wageni wanaoishi kihalali Tanzania wanatakiwa kuwa na Vitambulisho vya Taifa kulingana na hadhi zao. Wanaostahili kuwa na vitambulisho ni Wageni Wakaazi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, wanaoishi nchini kwa zaidi ya miezi sita ambao wana vibali vya ukaazi na kufanya kazi. Kundi jingine ni la Wakimbizi wanaotambuliwa […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025

Filed in Habari by on 03.12.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 3 Desemba 2025 saa 6:01 usiku. Bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni […]

Continue Reading »

BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030

Filed in Habari by on 17.11.2025 0 Comments
BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030

BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo hapa chini. Aidha, uapisho wa mawaziri na naibu mawaziri wateule utafanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025 […]

Continue Reading »

BEI ya Korosho yapanda hadi 3520

Filed in Habari by on 09.11.2025 0 Comments
BEI ya Korosho yapanda hadi 3520

BEI ya Korosho yapanda hadi 3520 Soko la korosho kwa msimu wa mwaka 2025/2026 limefunguliwa mkoani Mtwara, huku wakulima wengi wakiwa na matumaini ya kupata malipo stahiki na bei nzuri iliyopangwa na Serikali. Mnada wa kwanza umefanyika katika Wilaya ya Tandahimba, ambapo korosho ghafi zimeuzwa kwa bei ya juu ya shilingi 3,520 na bei ya […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025

Filed in Habari by on 05.11.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Novemba 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Novemba 2025, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya […]

Continue Reading »

RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma

Filed in Habari by on 04.11.2025 0 Comments
RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma

RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Sherehe zilizofanyika Leo Jumatatu tarehe 3 November 2025. Mbali ya Rais Samia, Dkt. Emmanuel John Nchimbi naye amekula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia Suluhu […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

Filed in Habari by on 29.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 Watanzania wanapiga kura leo Jumatano tarehe 29 October 2025 katika uchaguzi mkuu ambao Rais Samia Suluhu Hassan anachuana na wagombea kutoka vyama vingine Vya Siasa. Wapiga Kura Watamchagua Rais, Wabunge, Madiwani na Wawakilishi. Aidha Uchaguzi wa leo unafanyika bila ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA, ambacho mwenyekiti wake […]

Continue Reading »

INEC yaondoa Wagombea 7 na Kufuta Kata 10 Vituo 292 Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Habari by on 12.10.2025 0 Comments
INEC yaondoa Wagombea 7 na Kufuta Kata 10 Vituo 292 Uchaguzi Mkuu 2025

INEC yaondoa Wagombea 7 na Kufuta Kata 10 Vituo 292 Uchaguzi Mkuu 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imefanya marekebisho katika maeneo ya uchaguzi ikiwemo kuzifuta kata 10, kutengua na kuwaondoa wagombea udiwani saba. Katika taarifa yake iliyotolewa leo Jumapili Oktoba 12, 2025 na kusainiwa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025

Filed in Habari by on 01.10.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 OKTOBA 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 1 Oktoba […]

Continue Reading »

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

Filed in Habari by on 15.09.2025 0 Comments
LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemuengua mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina. Taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Septemba 15,2025, iliyosianiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhani Kailima imesema jina lake limeondolewa kutokana na pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. […]

Continue Reading »