Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 03 April 2026

Filed in Magazetini Leo by on 03.04.2026 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 03 April 2026

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 03 April 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi, uhamisho, utenguzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi, uhamisho, utenguzi na kupangiwa kituo Balozi ni kama ifuatavyo:-. Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025

Filed in Magazetini Leo by on 31.12.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati yatarehe 09-11-2024 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 09 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 09.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 09 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 09 December 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 07.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025 Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yasiyo na kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia December 09, 2025 kwakuwa maandamano hayo hayana sifa na hayakubaliki Kisheria. Akiongea Disemba 05, 2025 Msemaji wa Polisi, David Misime amesema kuwa “Maandamano hayo yanayopewa jina la maandamano ya amani na yasiyo na kikomo yamekosa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025 Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa miongoni mwa mambo yanayowasikitisha Watanzania kwa sasa ni kutokiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani, huku akihoji kwamba ilikuwaje vyombo vya usalama havikufanikiwa kuzuia mauaji yaliyojitokeza. Akizungumza na Jambo TV, Desemba 1, 2025, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025 Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius Wambura kuondoa tamko la kumtafuta Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na badala yake wamwache ajitokeze aendelee na ibada zake ili wajenge umoja wa kitaifa. Hatua hiyo inakuja siku saba baada […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 29.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 28.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji amesema kuwa kwa wale wananchi wenye vitambulisho vya NIDA ambavyo vinafutika maandishi sasa wanaweza kuvirudisha na kupewa vitambulisho vipya bure. Kaji ameyasema hayo Novemba 27, 2025 ambapo amesisitiza kuwa wale wote wanaopitia changamoto hiyo wafike na vitambulisho […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 27.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025 Jeshi la Polisi nchini limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya kwa waandishi wa habari kama ushauri kwa wamiliki wa vituo vya mafuta. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa Jumatano Novemba 26, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 26.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

Continue Reading »