VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026
VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imeingia makubaliano na vyuo 46 vinavyotoa mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimesajiliwa na Mamlaka husika kutoa mafunzo katika fani mbalimbali zikijumuisha ubunifu wa mitindo na ushonaji nguo, ufundi bomba, uashi, useremala, uchomeleaji na uungaji vyuma, upakaji […]
