NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania

NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania
NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania
Reuna Group ni kampuni inayokua kwa kasi katika sekta ya usindikaji na usambazaji wa dagaa, iliyoko Vikindu, Wilaya ya Mkuranga, Tanzania.
Ikiwa wewe ni mtu makini, mwenye mwelekeo wa matokeo, na mtu mwenye ujuzi na ufahamu mkubwa wa mikakati basi hii nafasi yako Kujiunga na Kampuni hii.
Reuna Group of Companies Limited inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.
TUMA MAOMBI HAPA

Please consider me in your company for employment.
I am professional in Transport and Logistics field over 10 years.
Please I submit.
Regards.
Sekiwa Chimgege.
0676060495
Ajira