Usaili

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 09 April 2026

Filed in Usaili by on 09.04.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 09 April 2026

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 09 April 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 17/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 08/04/2026

Filed in Usaili by on 08.04.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 08/04/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 08/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. PRINTING ASSISTANT II LABORATORY TECHNICIAN II (MINERAL PROCESSING) LABORATORY TECHNICIAN II (GEOLOGY MINING) LABORATORY ASSISTANT II (EMBALMER) EDITOR II LABORATORY TECHNICIAN II (MULTIMEDIA) LABORATORY […]

Continue Reading »

VITUO vya Usaili wa Mahojiano Kila Mkoa Aprili 2026

Filed in Usaili by on 08.04.2026 0 Comments
VITUO vya Usaili wa Mahojiano Kila Mkoa Aprili 2026

VITUO vya Usaili wa Mahojiano Kila Mkoa Aprili 2026 Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia mikoa waliyopangiwa kufanya usaili huo. VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO APRIL 2026

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026

Filed in Usaili by on 02.04.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II) AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT OFFICER GRADE II) AFISA RASILIMALI […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026

Filed in Usaili by on 31.03.2026 0 Comments
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026

MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili UTUMISHI April 2026 Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA MDAs NA LGAs 2026

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27-30/03/2026

Filed in Usaili by on 31.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27-30/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 27-30/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI MHANDISI UJENZI DARAJA LA II (CIVIL ENGINEER GRADE II) AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 24-25/03/2026

Filed in Usaili by on 26.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 24-25/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 24-25/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) CUSTOMER SERVICE OFFICER II

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026

Filed in Usaili by on 25.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER GRADE II) AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL […]

Continue Reading »

MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

Filed in Usaili by on 21.03.2026 0 Comments
MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Unapokuja kwenye usaili zingatia kuvaa mavazi rasmi na nadhifu, kushindwa kuvaa mavazi rasmi na mwonekano nadhifu kutakuondolea sifa ya kuendelea na usaili.

Continue Reading »

TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026

Filed in Usaili by on 20.03.2026 0 Comments
TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026

TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026 Kufuatia uwepo wa Sikukuu ya Eid al-fitr inayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 21-22 Machi, 2026, tunapenda kuwataarifu waombaji wote walioitwa kwenye usaili uliopangwa kufanyika tarehe 22 Machi, 2026 kuwa usaili huo hautafanyika kama ulivyopangwa. Aidha, tarehe mpya ya usaili itatangazwa kupitia akaunti zenu za Ajira Portal, pamoja na tovuti […]

Continue Reading »