NAFASI Za Kazi United Nations Tanzania

NAFASI Za Kazi United Nations Tanzania
NAFASI Za Kazi United Nations Tanzania
Umoja wa Mataifa (UN) ni shirika la kimataifa la kidiplomasia na kisiasa ambalo madhumuni yake yaliyotajwa ni kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuendeleza uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa, kufikia ushirikiano wa kimataifa.
Ni shirika kubwa zaidi la kimataifa duniani ambalo makao yake makuu yapo katika Jiji la New York (nchini Marekani.
Shirika hilo linatangaza nafasi Mbalimbali za Kazi kama Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania.
- HR Assistant at UNOPS
- Lead Consultant – Development of Health Sector Strategic Plan VI Sector Strategic Plan VI (National, Home Based) at UNICEF
- UN Coordination Analyst at UNDP
- Programme Policy Officer (Micronutrients), SSA9 at WFP
- Intern (Gender, Protection and Inclusion) at WFP
- Energy Finance Specialist at UNDP
- Library Intern – Office of the Registrar at IRMCT
- National Individual Consultant – Health Advocacy and Coordination at UNICEF
- Site Reliability Engineer at Vodacom
- Associate Information Management Officer, P2 at United Nations
- Programme Management – Associate at UNOPS
- FAO Representative in Tanzania at FAO
- International consultant – Rapid Analysis of Health System Shocks and Resilience at UNICEF
- Internship: Social & Community Listening and Data (2 persons) – Part-time. Dar es salaam, Tanzania. (6 months)
- Programme Intern at UNDP
- Communications Intern at UNDP
- Human Resources Intern at UNDP
- Legal Intern – Office of the Registrar at IRMCT
