Elimu

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

Filed in Elimu by on 03.04.2026 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026 Hii hapa Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

Continue Reading »

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

Filed in Elimu by on 30.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III) TANGAZO LA FURSA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MREFU NGAZI YA TATU (L.III) KATIKA VYUO VYA VETA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujiunga na Elimu na Mafunzo ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027

Filed in Elimu by on 07.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027 Wizara imepokea nafasi za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa Watumishi wa Umma kutoka Shirika la Misaada la Indonesia kwa mwaka wa Masomo 2026-2027 kwenye vyuo mbalimbali nchini humo. Ili kukamilisha maombi ya “Scholarship” hizo, muombaji awasilishe fomu ya maombi kupitia barua pepe maalum iliyoandaliwa […]

Continue Reading »

UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027

Filed in Elimu by on 21.02.2026 0 Comments
UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027

UFADHILI Wa Masomo Nchini Uturuki 2026/2027 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki unapenda kuujulisha umma wa Watanzania kwamba Serikali ya Jamhuri ya Uturuki kupitia mpango wa ufadhili wa masomo (Türkiye Bursları) kwa mwaka 2026/2027, imeongeza muda wa kupokea maombi ya ufadhili wa masomo katika Shahada ya Kwanza, Uzamili na Shahada ya Uzamivu […]

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026

Filed in Elimu by on 14.02.2026 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026 MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MUHULA WA MASOMO ULIOANZA MWEZI JANUARI, 2026, AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi […]

Continue Reading »

NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027

Filed in Elimu by on 13.02.2026 0 Comments
NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027

NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi zote, isipokuwa kozi za Afya Tanzania Bara, umeanza tarehe 10 Februari, 2026 na utakamilika tarehe 28 Februari 2026. Udahili huu […]

Continue Reading »

HESLB Kufunguliwa dirisha la Maombi ya Mikopo ya Stashahada ‘March Intake’ 2025/2026

Filed in Elimu, Makala by on 12.02.2026 0 Comments
HESLB Kufunguliwa dirisha la Maombi ya Mikopo ya Stashahada ‘March Intake’ 2025/2026

HESLB Kufunguliwa dirisha la Maombi ya Mikopo ya Stashahada ‘March Intake’ 2025/2026 Dirisha la maombi ya mikopo ya Stashahada kwa ‘March Intake’ mwaka wa masomo 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawatangazia wanafunzi wa stashahada watakaodahiliwa mwezi Machi (March Intake) kwamba dirisha la maombi ya mikopo ya stashahada litafunguliwa kuanzia […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025

Filed in Elimu by on 30.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025

MATOKEO ya Mtihani wa Kidato Cha Nne 2025 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE 2025) Leo Jumamosi tarehe 31 January 2026. Ili kuona Matokeo hayo baada ya Kutoka, tafadhali fuata hatua hizi hapa chini. Bofya Link ya Matokeo Katika tovuti ya NECTA Chagua Mwaka wa Mtihani […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026

Filed in Ajira, Elimu by on 20.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026

NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Mabele, anawataarifu Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani nafasi za kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026. Utaratibu wa Vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa […]

Continue Reading »

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

Filed in Elimu by on 18.01.2026 0 Comments
5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026 Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imetangaza vijana 5,746 kujiunga na mafunzo ya uanagenzi ambayo yatawawezesha kupata ujuzi wa vitendo utakao wasaidia kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kwa kujiajiri na kuajiri wenzao. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri […]

Continue Reading »