Michezo

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026

Filed in Michezo by on 08.04.2026 0 Comments
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026 Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania ya 2025/2026 ni msimu wa 10 wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini Tanzania. Ni msimu wa kwanza wenye muundo mpya wa timu 12. Mashindano hayo yanaendeshwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Hapa chini ni Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake (Tanzania […]

Continue Reading »

VINARA wa Ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.04.2026 0 Comments
VINARA wa Ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026

VINARA wa Ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026 Wanaoongoza kwa ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026.

Continue Reading »

MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.04.2026 0 Comments
MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC Premier League Msimu wa 2025/2026 imenza rasmi tarehe 17 September 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 23 May 2026. Klabu ya Young Africans ya Jijini Dar Es Salaam ndio Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo wakibeba Ubingwa wa Msimu wa 2024/2025 Kwa jumla ya pointi 82 mbele ya […]

Continue Reading »

MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi hiyo kwa msimu wa 2025/2026 ambapo mchezo wa dabi ya pili ya Kariakoo kwenye Ligi utapigwa Mei 3, 2026. Dabi ya pili ya Mzizima Kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba Sc […]

Continue Reading »

RATIBA ya Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
RATIBA ya Kombe la Dunia 2026

RATIBA ya Kombe la Dunia 2026 Mabingwa watetezi Argentina watafungua kampeni ya kutetea ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Algeria June 17, 2026 saa 10:00 alfajiri. Ratiba Kamili ya Kombe la Dunia 2026 imeambatanishwa hapa chini. BOFYA HAPA KUTAZAMA RATIBA KAMILI

Continue Reading »

SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026

SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026 Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limetangaza mabadiliko matano yatakayotumika kwenye Kombe la Dunia 2026 kwa lengo la kupunguza upotevu wa muda na kuongeza kasi ya mchezo. Mchezaji anayefanyiwa mabadiliko atapaswa kutoka uwanjani ndani ya sekunde 10. Akichelewa, mchezaji wa kuingia atasubiri dakika moja kabla ya kuruhusiwa kuingia. […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026

RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026 Klabu ya Yanga SC itarejea dimbani kwa michezo kadhaa muhimu ya Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya mapumziko ya kimataifa. Ratiba Kamili ya Mechi Za Yanga April 2026 04 April 2026 18:30 Yanga SC vs Tanzania Prisons 16 April 2026 18:30 Yanga SC vs Mbeya City 19 […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026

RATIBA ya Mechi Za Simba April 2026 Klabu ya Simba SC itarejea dimbani kwa michezo kadhaa muhimu ya Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya mapumziko ya kimataifa. Ratiba Kamili ya Mechi Za Simba SC April 2026 02 April 2026 19:00 Simba SC vs Coastal Union 05 April 2026 19:00 Simba SC vs Azam FC […]

Continue Reading »

MASHABIKI Waiponza Simba SC

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
MASHABIKI Waiponza Simba SC

MASHABIKI Waiponza Simba SC Klabu ya Simba imetozwa faini ya Tsh. Milioni kumi kwa kosa la Mashabiki wake kuwarushia chupa za maji waamuzi wa mchezo wa mchezo wao wa sare ya 1-1 dhidi ya Pamba Jiji FC wakati wakitoka katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, tukio ambalo limetokea kwa […]

Continue Reading »

REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra

Filed in Michezo by on 27.03.2026 0 Comments
REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra

REFA Ashushwa Daraja Kisa Diarra Refa wa mchezo Kati ya Yanga na Mtibwa Sugar, Gilbert Mrina Kutoka Kilimanjaro, ameshushwa daraja kwa kosa la kushindwa kumchukulia hatua Djigui Diarra kwa utovu wa nidhamu alioonyesha katika mchezo huo. Refa msaidizi Katika mchezo huo, Abdulaziz Ally Kutoka Arusha yeye amefungiwa mizunguko mitano kwa kosa la kushindwa sheria ya […]

Continue Reading »